Je mashine inakupa ujumbe huu: "Paper Jam" au "Change paper size"kila unapojaribu kutoa copy? Funguka nikusaidieJamani wana JF kama kuna mzoefu wa kutengeneza Photocopy machine aina ya CANON np 2120, naomba tuwasiliane kwani mashine yangu haivuti karatasi. muhimu sana.
Kwa yule mwenye uwezo anaweza kuniPM.