Habari Zenu wapendwa,
Kama una biashara binafsi , kampuni ...au ni wewe ni professional kwenye eneo lolote mfano engineering, marketing, medicine etc.
Karibu Olcomlabs ..Tutakufanyia yafuatayo...
Kuna nyumba inapangishwa ipo maeneo ya ipagala emaus ya pili ina sitting room, dinning room, jiko na vyumba vinne vya kulala, vitatu n vya kawaida na kimoja n master . Bei yake ni tsh. 250000/=...
Viwanja viko kibamba shule ukubwa kuanzia Mita 20*20 bei 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa, vyote vinafikika kwa barabara, huduma Za umeme na maji zinapatikana.
Kwa taarifa zaidi...
Kabati bado lipo vizuri kabisa kama linavyoonekana pichani.
Bei ni 230,000 laki mbili na thelathini pungufu unaongea na naamini tutaelewana.
nipo Dar
0715553166
Pata selfie sticks ambazo kazi yake ni uezeshaji na uboreshaji wa picha za kamera ya mbele(selfie)
Hii selfie stick itasaidia picha kutokea katika ukubwa zaidi na inasaidia kuwepo kwa watu wengi...
Habari JF,
Nauza iPhone 5 ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote. Nimeshindwa kuipiga picha coz simu haiwezi kujipiga.
Ina run iOS 8.4.1
Kama uko interested karibu PM.
Habari wana jamvi ninahitaji graduate archtech,tafadhali awe graduate nina kijikazi kidogo tu nahitaji kumpatia graduate wa mwaka huu ili apate nauli ya kuzungukia mjini kutafuta kazi.kama ni wewe...
habari zenu wakuu natafuta mahali wanauza hizi poker chips ambazo ni kwajili ya michezo ya kujifurahisha tu na wala sio zile zenye thamani kabisa za casino. Anaefahamu tafadhali ani-pm au comment...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.