Nauza vifaa vya CHADEMA

Nauza vifaa vya CHADEMA

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Mimi nipo DAr Tabata...ni muuzaji mpya wa vifaa vya chadema kama tisheti...kofia za kapelo na zile za kawaida....Tatizo mimi kwa kuwa sina uzoefu mara nyingi nimekuwa nikinunua kwa bei ya jumla makao makuu ya chama Kinondoni ambayo ni bei kubwa..

Ukija mtaani unakutana na wauzaji wenzangu wenye bidhaa ile ile lkn kwa bei ya chini...
Hakuna anayekubali kunipa ukweli wanapata wapi.

Kama kuna mdau ambaye vifaa hivyo anajua vinakopatikana kwa bei inayomlenga mlalahoi ambao ndo wengi wanapenda mabadiliko tuwasiliane inbox...
 
Nenda kariakoo maduka ya jumla utavipata.yaliyoko kule juu baada ya maduka ya vyombo.
 
We Unaenda Makao Makuu? Humu Kwenye Jukwaa Kuna Watu Wana Ya Prit Kuanzia Kofia Na Vinginevyo Jarbu Kuwatafut Watakufanyia Kwa Bei Poa Zaid Ama Fata Maelez Ya Mdau Hap Juu
 
Mwenye tshirts za malofa katika ubora wetu anitumie namba kwa pm.
 
Back
Top Bottom