Natafuta msichana anayeweza kufanya kazi za saloon kama kusuka, kuset, kushonea na kazi zingine za saloon. Awe na umri kuanzia miaka 20, awe na bidii katika kufanya kazi na awe anaishi maeneo ya...
wakuu
kichwa cha habari kinajieleza apo juu. inahitajika haraka sana original HTC one X iliyo katika hali nzuri na reasonable price na hata kama ni mpya pia niambie bei gani ili nione kama...
Pata hii External HDD Mpya kabisa kwenye Box Lake ikiwa na 45 TV -Series kali na zinazotamba kwa Sasa, upata kuburudika Nyumbani au ukiwa Mapumzikoni/Safari.
Hii sio ya Kukosa. Ni offer.
Bei...
Husika kichwa hapo juu nauza bajaj tvs king zimetumika zipo 2 na pikipiki Sanlg imetumika kama bodaboda na kabati kubwa la vyombo mti mninga. Picha sijapiga ila nipo ubungo karibu Kwa serious...
Natafuta experienced tour guide anayejua mwenye knowledge ya kutosha kuhusu Mji wa Bagamoyo na vivutio vyake.
Kuna watoto wa shule wanaenda kwa ajili ya kujifunza na kuburudika, Itakuwa ni vema...
Wana JF ninauza mashine ya Ceragem inayotumia umeme ambayo hutibu magonjwa yote isipokuwa yale ya kuambukiza kama vile HIV, TB, Malaria n.k Naiuza ikiwa na vifaa vyake vyote kwa Shs. 1.5m baada...
Tunatengeneza Dreids na Natural hair twist,popote ulipo tunakufata piga simu namba 0689494232kujua bei na kufanya appointment, Tupo Dsm mikoani pia tunaenda.
HESHIMA KWA WOTE.
Kuna tablet ya microsoft inatafuta mnunuzi....
Ipo katika ubora wa hali ya juu ingali ishatumika kidogo.
Ina Internal ya 10 gb,
Screen size: 7 inches
HAI INGIZI LINE,
Unaweza...
Habari wadau nahitaji pikipiki aina fekon ambayo imetumika miezi 3 hadi5 hivi
iwe katika hali nzuri sana nataka kwa ajili ya biashara
Offer yangu ni sh800,000/= kwa aliye nayo anaPM
thanks