Nahitaji Pikipiki aina ya Fekon

Nahitaji Pikipiki aina ya Fekon

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wadau nahitaji pikipiki aina fekon ambayo imetumika miezi 3 hadi5 hivi

iwe katika hali nzuri sana nataka kwa ajili ya biashara

Offer yangu ni sh800,000/= kwa aliye nayo anaPM

thanks
 
Subri mkuu watakuja wauzaji.usisahau kuangalia Kule kupatana na zoom.
 
Aisee,karibuuu Lady Furaha kwenye Chama chetu.

Hakikisha ukinunua unaenda na Fundi plzzzzz

Mie nikirudi naongezea nyingine mbili.
 
NDUGU Zanzibar spices, NAmi Na_wish sana HII ishu ya bodaboda, ila VIPI KUHUSU kuzinguliwa Na madereva KWENYE marejesho?

Mkuu inategemea na Dereva unaempata,sie wenye Pikipiki Zaidi ya Tano kwenda juu tunakuwa hatuna shida sana,maana Driver anajua akizingua kesho tu Driver mwingine analeta mwingine.

Ila inabidi uwe mvumilivu,sio kila siku ya hesabu mtu ataleta,kuna kipindi anaweza kuzidisha siku mbili.Sasa kawaida lazima na wewe uwe binaadam.
Wamiliku wengi wa Bodaboda huwa hatuna ustahamilivu,yaani wapo ambao mtu akizidi siku moja tu matusi mtu.Unajua hawa Drivers wapo ambao wana tenda za kupeleka wafanyakazi maofisini,mashuleni,nk.Sasa malipo yao wengine ni kwa Mwezi.Unaweza kukuta kati ya wiki hali ikawa ngum.
Pia na wao ni binaadam,wanaumwa,misiba,nk,Muhim ni kufuatilia matukio halisi juu ya ukweli wake.Kama anaumwa unachukua chombo unaweka nyumbani,akipona unampa,ila mie wangu kwa miaka mingi nawaamini sana,akisema anaumwa basi nampa nafasi ya kuugua kwa siku kadhaaa.Maana mtu haumwi kila siku wala kila mwezi.
Kazi hizi kama huna ubinaadam kwa Drivers basi huiwezi,Mie nasema Drivers wengi ni waaminifu,ila wamiliki wengi ndio matatizo.We unakuta mtu akiambiwa service kubwa kwa ajili ya uimara wa chombo chake,anakwepa majukum.Mwisho wa siku Pikipiki inachoka hata mwaka bado.

Na wengie pia kufanya pesa ya pikipiki ndio mtaji wa kulewea na madem,mwishi wa siku hata taa ikipasuka au ajali ndogo ya bahati mbaya basi mtu hana hata senti.

Ufupi,marejesho sio mabaya,na pia kuna hali ya mazingira ya driver,wakati wa mvua kwa jiji la Dar huwezi kumuambia Driver akuletee hesabu kabili,utakuwa wendawazim,ila wapo Matajiri wao hawaelewi chochote wao hela tu.
We jiji la Dar kuna kipindi hata gari yenyewe mtu hatoi,itakuwa pikipiki,na kama sasahivi siasa,vurugu zikianza maeneo fulani mtu mbio anaeza kuificha pikipiki yake ili asije kudhuriwa nayo,sasa akikuambia tajiri hali hiyo unamuambia wewe unataka pesa,na akilazimisha majukum akiibiwa,unampa kesi.
Biashara yoyote,lazima kuwe na ubinaada,urafiki,undugu,kujaliana kati ya Mwenye mali na mtumwaji
 
Ila ndugu umewatetea sana madereva,
bila kubainisha Na mapungufu ya kizembe ya upande WAO.
 
Back
Top Bottom