Usihofu mkuu,
Utapata.
Ila KUNA mpiga debe MMOJA anaitwa Munawar asivyokuwa Na AIBU atakuja kukutangazia PASSO kwa million 23 SASA HIVI,
Wakati BAJETI YAKO keshaiona.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, wakuu nahitaji gari gharama yake isizidi milioni 4.5, iwe katika hali nzuri.
Mawasiliano: 0788099470
ongezea 2.5 nikupe ist safi
Hahahaha,aisee we kweli mfuatiliaji
Ipo Mazda nzuri,M4 ni pmKama kichwa cha habari kinavyoeleza, wakuu nahitaji gari gharama yake isizidi milioni 4.5, iwe katika hali nzuri.
Mawasiliano: 0788099470