Natafuta msichana wa kazi za Salon

Natafuta msichana wa kazi za Salon

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,609
Natafuta msichana anayeweza kufanya kazi za saloon kama kusuka, kuset, kushonea na kazi zingine za saloon. Awe na umri kuanzia miaka 20, awe na bidii katika kufanya kazi na awe anaishi maeneo ya karibu na chanika kwa sababu saloon ipo chanika karibu na chuo cha biashara na ugavi ili kupunguza gharama za usafiri na kama atatokea mbali basi awe tayar kujigharamia nauli. Vifaa vyote vya saloon ni kwa gharama zangu. Kama upo tayar au una ndugu anayeweza kufanya kazi hii vizur naomba tuwasiliane kwa namba 0652884040
 
Miss Zomboko chanika kubwa sana.
Maana mie nimejenga huko napajua kiasi.Ni chanika ipi.

Maana unaweza kukuta mtu anakaa chanika ila ikabidi atumie usafiri vile vile.
Halafu weka mshahara wazi,ili uweze kuvutia watu
Pia nakupongeza sana kwa kuwa mjasiriamali na kutumia fursa vizuri,maana chanika mji unakuwa kwa kasi na watu wengi mno.Muda mfupi itakuwa na watu kama Mbagala
 
Miss zomboko
We ni mtoto wa marehemu mzee zomboko wa mbagala? If yes choose chemba
 
Miss Zomboko chanika kubwa sana.
Maana mie nimejenga huko napajua kiasi.Ni chanika ipi.

Maana unaweza kukuta mtu anakaa chanika ila ikabidi atumie usafiri vile vile.
Halafu weka mshahara wazi,ili uweze kuvutia watu
Pia nakupongeza sana kwa kuwa mjasiriamali na kutumia fursa vizuri,maana chanika mji unakuwa kwa kasi na watu wengi mno.Muda mfupi itakuwa na watu kama Mbagala

Chanika kilipo chuo cha biashara na ugavi na kuhusu mshahara ni maelewano tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom