HTC One X inahitajika haraka

HTC One X inahitajika haraka

kawakama

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,299
Reaction score
391
wakuu

kichwa cha habari kinajieleza apo juu. inahitajika haraka sana original HTC one X iliyo katika hali nzuri na reasonable price na hata kama ni mpya pia niambie bei gani ili nione kama inanunulika.

ahsanteni
 
Back
Top Bottom