Natafuta experienced tour guide anaejua mwenye knowledge ya kutosha kuhusu Mji wa bagamoyo na vivutio vyake. Kuna watoto wa shule wanaenda kwa ajili ya kujifunza na kuburudika, Itakuwa ni vema nikimpata mwenyeji. Thanks!!
BEi KWA KUTWA?
Mkuu kwa Bagamoyo jaribu kupiga Millenium Sea Breezes ndio wana Guides wazuri wanaowatumia au Hotel yoyote kubwa.
Ila ukipewa humu utaingizwa Mjini.
Hakuna sehem yenye Guides wababaifu kama Bagamoyo,Kila kijana mwenye kujua Kizungu basi anajifanya Guide.So,bora tumia wanao deal na mahotel,google kisha piga sim utasaidiwa.
Entrance fees katika viingilio ni uhuni mtupu.Yaani kule Serikali imelala hasaaa,wageni wanaibiwa kupita maelezo kwenye entrace fees kwenye majengo haya.Kila mgeni anasukumizwa bei wanayojua wao.
We angalia kwenye Trip advisors ndio utaona masnema ya viingilio vya Bagamyo.
Wakiona mzungu kila mlaji anapanga lake.
Ila kwa vile hao ni Study Tour ya Wanafunzi,basi hapo utapiga bao.
Mkuu kwa Bagamoyo jaribu kupiga Millenium Sea Breezes ndio wana Guides wazuri wanaowatumia au Hotel yoyote kubwa.
Ila ukipewa humu utaingizwa Mjini.
Hakuna sehem yenye Guides wababaifu kama Bagamoyo,Kila kijana mwenye kujua Kizungu basi anajifanya Guide.So,bora tumia wanao deal na mahotel,google kisha piga sim utasaidiwa.
Entrance fees katika viingilio ni uhuni mtupu.Yaani kule Serikali imelala hasaaa,wageni wanaibiwa kupita maelezo kwenye entrace fees kwenye majengo haya.Kila mgeni anasukumizwa bei wanayojua wao.
We angalia kwenye Trip advisors ndio utaona masnema ya viingilio vya Bagamyo.
Wakiona mzungu kila mlaji anapanga lake.
Ila kwa vile hao ni Study Tour ya Wanafunzi,basi hapo utapiga bao.
Asante mkuu, tumeenda Jana. Tulimpata hukohuko bbayamoyo. Ila viingilio tuliambiwa ni 1000/- kwa kaole na msalabani ni 500/- kwa kila mwanafunzi. Na Tour guide tulimlipa 40000/- ni knowledgeable ila kuna some sorts of ulaghai pale Kati ya hawa tour guide na watu wa makumbusho.Mambo yanapelekwa kienyeji sana, kuweni makini kutapeliwa. Ask everything before you pay.Do your research more b4 you go.
Hawana source of reliable info, ila TripAdvisor reviews and VirtualTourist inasaidia.
Hongera mkuu,muhim ni wanafunzi kwenda na kurudi salama.
Hilo la Ulaghai la Guides na Watu wa Makumbusho ndio nimelolisema hapo juu.
Lipo Miaka mingi sana kwa upande wa Bagamoyo,na kule Wizara ya mali asili na Utalii imelala.Watendaji wanafanya watakavyo.Kuna wazungu wanapigwa hela huko balaaa,kuna receipts fakes kibao za viingilio kila moja na bei yake kwenye Sehem moja.
Usipokuwa makini unaweza kukuta safari yoote inaharibikla,na mood yote inapotea.
Kuna kipindi nilienda kule na Guide kutokea Dar ili kuondoa huu usumbufu,basi aisee wale jamaa wa Makumbusho walimsumbua hadi wakamuitia Polisi kwamba hana uhalali wa kutembeza wageni kule.Maana wale wa Dar wahuni,huwezi kuwazingua.
Hii inaharibu sana sifa ya makumbusho ya Bagamoyo,yaani inabidi uwe na budget ya ziada,Na hata kwenye travel Forums hili limeongelewa sana,ila watu wamelala.
Unashauri NINI kifanyike ndugu ILI tuanze kuwachukulia hatua FASTA.
We angalia tranevllers forum kama
Trip advisors au thorn tree na nyinginezo
Huko uone madudu ya Bagamoyo,jinsi watu wanavyojichanganya kila mmoja na maelezo yake kuhusu viingilio na taratibu za huko.Majanga matupu.Na ukiona mpaka travelers forums zinakuwa negative kwenye sehem husika,basi jua ni tatizo kubwa sana,na inawezekana serikali inakosa pesa nyingi saana kwa wageni kuamua ku cancel trip za kwenda Bagamoyo na hatimae kuja Zanzibar kama Day trip
hahaha,asante seneta.
Pale inaonekana kuna mtandao fulani upo,ni tata kiasi kuugundua,ila upo wazi sana.
Yaani mtu huwa una nejoy kufanya dar es salaam city tour kuliko bagayomo slave coast tour,maana dar kila kitu kipo wazi,guide wazuri sana na wenye uelewa mzuri sana,sehem za makumbusho kila kitu kipo wazi,bei za viingilio zinafahamika na baadho ya sehem ambazo ni za bure kuingia pia guide anakuambia.nawapongeza sana watendaji kwa upande wa jiji la dar,wapo vizuri mno,from guides mpaka wasimamizi na wahusika wa makumbusho zote na sehem zote za kitalii.
Ila bagamoyo,miaka zaidi ya 10,hili tatizo kwa kumbukumbu zangu tangu nilipoenda lipo hadi leo.maana kuna family members pia huwa wanaenda wanakumbana nayo hayo hayo.na akiwa mzungu ndio huumizwa haswaaa.utatjiwa sheria na vifungu pale mpaka uzimie,ilimradi pesa watu wapige.na wale guide wa bagamoyo wengi huwa wanakuwa upande wa wale watendaji kwa kuwa wakiharibu tu basi na wao wanaweza kuzuiliwa kufanya kazi,yaani kuna utemi fulani wa chinichini.
Kuna siku kuna mjerumani mmoja alikuwa amepinda,niliona wanapambana mpaka basi,na guide ikabidi akae pembeni aachie watendaji,sasa nikajiulize inamaana guide hajui gharama za viingilio halisi?
Na kuna siku nilisikia kwamba ukilipa sehem moja unaingiza sehem nyingi sana bure kwa kutumia recipt moja,ila fanya hivyo uone,imekula kwako,utalipa kila sehem.na pia wanaangalia uzoefu wako wa bagamoyo,wakiona mjanja basi unapeta,sasa utalii gani unaendeshwa kiujanja ujanja namna hiyo.
VIPI ZANZIBAR HAKUNA FIGISUFIGISu KAMA ZA HUKU??
Mkuu Zanzibar habari nyingine kabisa.
Kila kitu wazi,viingilio vimebandikwa milangoni.No longolongo.
Ukiingia unapewa na Receipt, mara nyingi anakuwa anapewa Guide maana ndio analipia.
Na ndio maana wageni wengi badala ya kwenda Bagamoyo wanafanya kuja Zanzibar as day visit.
History za hii miji zinatofautiana kidogo sana.
Zanzibar raha tupu kwenye kuutembea mji,kila kitu kipo wazi na hakuna ujanja ujanja.Ndio maana watu wa day visit wapo teleee,wanakuja asubuhi kisha jioni wanageuza bardiiiiiii,na wote huwa wanafurahi sana safari za huku.Na wengine hutoea Arusha na Moshi kwa flight ya asubuhi na kurudia na PW ya saa moja usiku au mbili