Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie uyoga fresh mbichi kwa sh 10,000 kwa ujazo wa kg 1, nipo Kigamboni pia nakuletea kokote ulipo. Wasiliana nami kwa simu 0657868981
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunatengeneza Dreids na Natural hair twist,popote ulipo tunakufata piga simu namba 0689494232kujua bei na kufanya appointment, Tupo Dsm mikoani pia tunaenda.
0 Reactions
0 Replies
647 Views
HESHIMA KWA WOTE. Kuna tablet ya microsoft inatafuta mnunuzi.... Ipo katika ubora wa hali ya juu ingali ishatumika kidogo. Ina Internal ya 10 gb, Screen size: 7 inches HAI INGIZI LINE, Unaweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau nahitaji pikipiki aina fekon ambayo imetumika miezi 3 hadi5 hivi iwe katika hali nzuri sana nataka kwa ajili ya biashara Offer yangu ni sh800,000/= kwa aliye nayo anaPM thanks
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mwenye simu ya Tecno m3 na anaiuza ikiwa kwenye hali nzuri . Mimi naihitaji nipo Dar.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Suzuki Swift New Model 1320 cc YOM: 2004 Very good condition Automatic transmission Price : 9.2 milion Location: Dar Whatsapp/Call : 0786527572
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi washikaji wangu? natafuta gari aina ya Volkwagen Beetle, zile model za 1960s na 1970s!!isizidi milioni mbili na iwe condition nzuri.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Salaam wanajamii, Nina viwanja vilivyo pimwa vimebaki vinne, vipo Dar es Salaam mpiji kilomita za makadirio kama 8 hivi kutoka mbezi luise. Bei ya kiwanja ni kuanzi Tsh 18M cha ukubwa wa 1049...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wadau, Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri (kwa uzuri namaanisha anayejua kufanya finishing vizuri) wa makabati ya jikoni + makabati ya nguo, ntashukuru kama utaweka namba yake hapa, au ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
bei 350000tsh
0 Reactions
4 Replies
889 Views
nauza simu aina ya tecno r7......internal memory 16gb, secondary camera 13mp, ram ni 2gb. imetumika miezi (7) michache...ina kila kitu chake kama ilivyonunuliwa na box lake lipo pia. mwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo vipi wana Jf Katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa SSD CHEMICAL nilitaka kujua matumiza ya hii kitu ni nini?
0 Reactions
0 Replies
921 Views
:A S-omg:Ni sisi masindegroup blog creater and designer wasiliana nasi kwa namba 0766017907 au nitumie private msg tupo kihonda magorofani morogoro tuweze kukutegenezea blog yenye ubora hili uweze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brandnew Selfie sticks for sale Green,Blue, Black and Pink colours are available Price 16,000 Contact 0718942311 or 0785300134
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Natafuta receiver iwe eitha Aone Premium sr 11000 Startrak 2000, 2020s Ibox diamond bajeti yangu ni tsh 130,000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Habari zenu wadau, Nataka kununua gari kati ya hayo niliyotaja hapo juu ila kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza kuwa na gari naomba mnisaidie which is the best among the two cars. Budget...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu wadau? Km kichwa cha tangazo, nahitaj laptop MPYA yenye sifa zisizopungua zifuatazo; ram 4gb> hdd 500> core i5 web cam screen 15"> brand Dell NB:IT MUST BE NEW(SILD). Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Elewa kichwa cha habari hapo juu...nahitaji Mirunda kwa ajili ya kukodisha ili nifanyie ujenzi hapa Sinza kituo kipya cha mabasi Sim2000. kwa mawasiliano kamili nicheki kwenye namba 0783666001
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom