Natafuta TECNO M3

Natafuta TECNO M3

kaguo07

Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Kwa mwenye simu ya Tecno m3 na anaiuza ikiwa kwenye hali nzuri .

Mimi naihitaji nipo Dar.
 
Una how much mkuu.... Ninayo siitumii mkuu....
 
NJOO uchukue BOOM J5 MPYA HAPA,
WARRANTY MWAKA MMOJA.

HIYO ND'O MWISHO WA MATATIZO!!!
 
Tecno simu mbovu balaa najuta kununua g9 tena kwa 375,000.kero tupu
 
Kwa mwenye simu ya Tecno m3 na anaiuza ikiwa kwenye hali nzuri .

Mimi naihitaji nipo Dar.

Ongeza hela nikupe Tecno M7 kwa 140,000 iko kama mpya,nicheck kwa no 0713228915 kama hujapata bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom