Viwanja vilivyopimwa Mpiji vinauzwa

Viwanja vilivyopimwa Mpiji vinauzwa

Mzani

Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
80
Reaction score
5
Salaam wanajamii,

Nina viwanja vilivyo pimwa vimebaki vinne, vipo Dar es Salaam mpiji kilomita za makadirio
kama 8 hivi kutoka mbezi luise.
Bei ya kiwanja ni kuanzi Tsh 18M cha ukubwa wa 1049 sqm kiwanja no. 5


Wasifa wa eneo:

Kuna umeme/ nguzo pembezoni mwa viwanja,
Viwanja vipo bara bara kuu ya mpiji,

Angalia kiambatanisho kuona surveyed plan ya viwanja husika

Kwa mawasiliano zaidi piga no. 0784 707789

Karibuni
 

Attachments

  • serveyed_plots_at_msakuzi.png
    serveyed_plots_at_msakuzi.png
    27.3 KB · Views: 172

Similar Discussions

Back
Top Bottom