Nahitaji Fundi wa Makabati ya Jikoni + Walking Closet

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Habari Wadau,

Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri (kwa uzuri namaanisha anayejua kufanya finishing vizuri) wa makabati ya jikoni + makabati ya nguo, ntashukuru kama utaweka namba yake hapa, au ni PM.

Nyumba ipo Tangi Bovu, Dar es salaam.

Natanguliza shukrani
 
mm ni fund I ila nipo arusha kama uko tayari nichek kwa 0769367629 tuongee
 
Habari Wadau,

Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri (kwa uzuri namaanisha anayejua kufanya finishing vizuri) wa makabati ya jikoni + makabati ya nguo, ntashukuru kama utaweka namba yake hapa, au ni PM.

Nyumba ipo Tangi Bovu, Dar es salaam.

Natanguliza shukrani

Nicheki nikuunganishe na fundi aliyeni designia kwangu, yuko vzr sana. 0713322856
 
Back
Top Bottom