Boss tv flat screen nchi 50 inahitajika

Boss tv flat screen nchi 50 inahitajika

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Habari wadau,

Kuna jamaa yangu kanituma hapa dsm nimuulizie na finaly nimnunulia boss tv ukubwa wa nchi 50 sasa bei zake zimekuwa hazieleweki kitu ambacho kinafanya nisite kumnunulia nisije mnunulia kitu ambacho kumbe kina matatizo yalojificha halafu heshima yetu ikawa katika wakat mgumu.

Mfano kuna maduka k/koo nilienda wanauza million 1.5 ila baadhi nikakomaa nao wakafika 1m posta wakakomalia 1.5m hawatak kushuka.
je bei halisi ya hizi tv ni sh. ngp?

Je, zipo tofauti tofauti?Ubora wake je?
 
nichek ntakusaidia 0713 799 522
 
Back
Top Bottom