Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari !! Jf members Ninazo premium blogger templates ambazo utaweza kuondoa footer credits.. Templates hizi nazinunua kwa kazi zangu na wanaruhusu kuhost unlimited DOMAINS. kama unahitaji...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nauza vitenge.. Bei 25,000 kwa piece.. Made in Poland.. Serious buyers jus pm...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chumba ni master (self) Choo ndani kwa ndani ni kikubwa marumaru saafii! na sehemu ni tulivu maji yapo ya kutosha bei 150,000 maongezi ni wewe na mm mwenye nyumba, kiko poa kwa mabachelor, madada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tembelea Swahiliform blog kwa wewe mwanafunzi kuweza kupata elimu kuhusu somo la kiswahili . katika swahiliform blog hutapata historia ya lugha ya kiswahili , fonetiki, sarufi, vipera vya fasihi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habar wana Jf kama heading inavyojieleza nafafta kiwanja mkoan Tanga mjn maeneo ya kange au pongwe
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nauza simu aina ya Tecno C5. Iko vizuri ni mpya haina miezi 2 toka dukani. Ram1gb,Rom 8gb,os 5.0 lollipop. Screen 5.5inch,.kwa anayehitaji anicheki watsap kwa namba 0768729731 Bei ni poa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Habari Jf. Nauza hiyo simu tajwa hapo juu iko kwenye hali nzuri imetumika miezi minne tu. Mawasiliano. 0757321084.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wadau nina Blog,napenda kutangaza natangaza matangazo kwa bei nafuu sana,ni PM kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza ardhi yenye ukubwa wa hekari 13 tu kwa Tshs 140/= milioni, eneo lipo Lugwadu lipatikanalo barabara ya Kongowe-Kigamboni main road lipo ktk ramani ya mipango miji, ni dakika 30 mpk 45...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Natafuta body ya raum new model 2004 au front cut.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu Tajwa Hapo Juu Inauzwa Tsh 140,000 .. Kama Upo Serious Ni PM Simu Ni Mpya Haijafunguliwa .. Nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Samsung Led tv 32" 570,000/=, 40" 940,000/=, 50" 1,780,000/= LG led tv 32" 635,000/=, 43" 1,040,000/= Projector Sony (used 47 hrs) 520,000/= Nicheki kwa 0762589998/0772985957 karibuni
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nyumba ya vyumba 3 inapangishwa nyuma ya Philips super market,Arusha,mita 100 toka Moshi/Arusha road. Vyumba 3,kimoja ni master bedroom Ina sebule kubwa Ina dinning area Ina jiko na stoo Ina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Philips nyuma ya Philips super market,mita 100 toka Moshi/Arusha road Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni master bed room(choo,bafu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nimepata shida fulani ya ghafla nahitaji lakimoja(100,000) nitarudisha baada ya week mbili hata kwa riba. Kuna mali naweza kuweka kama dhamana. ASANTENI.
0 Reactions
7 Replies
883 Views
Ninauza Hiace 2 ZR, petrol, 2WD. Imesajiliwa na imetembea siku 14 hapa nchini. Ina bima hadi Jan 16. Milioni 25, mwenye nia anii pm. Ilitengenezwa kwa ajili ya daladala hivyo ina kila kitu cha...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Toyota Rifine Chaser (Saloon car) for SALE in Arusha. Make year:2000 Engine capacity:1988 CC (4 cylinders) Color:White Transmission:Automatic Odometer:179,000KM 5 doors (5 seats) Registration...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wana JF nilikua nauliza kwa anaejua bei ya dvd empty kopo ama bei ya box moja n sh ngap anisaidie tafadhali naomba majib ya busara tafadhali
0 Reactions
4 Replies
46K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…