Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Philips,Arusha.

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Philips,Arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
14,000
DSCN4084.JPG Habari zenu wakuu?

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Philips nyuma ya Philips super market,mita 100 toka Moshi/Arusha road
Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni master bed room(choo,bafu ndani)
1 Sebule
1 Dinning area
Jiko na stoo
Nyumba yote ni full gypsum na floor tiles
Ina mfumo wa kuchemsha maji ya kuoga kwa kutumia umeme
Inajitegemea mita ya LUKU (Umeme) na mita ya maji

Nyumba ni ya floor ya kwanza(nyumba ya ghorofa) Ina balcony kwa ajili ya kupunga upepo.
Nyumba haina fenicha zaidi ya makabati.
DSCN4088.JPG DSCN4085.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom