Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,125
- 2,449
Chumba ni master (self) Choo ndani kwa ndani ni kikubwa marumaru saafii! na sehemu ni tulivu maji yapo ya kutosha bei 150,000 maongezi ni wewe na mm mwenye nyumba, kiko poa kwa mabachelor, madada, wanafunzi wa UDSM, CHUO CHA KODI, USTAWI na TUMAINI, karibini Na hata wale wa nyumba nzima, vyumba wasiliana Nami kwa 0713415537