Natafuta kiwanja

Natafuta kiwanja

kahwajr2

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
122
Reaction score
2
Habar wana Jf kama heading inavyojieleza nafafta kiwanja mkoan Tanga mjn maeneo ya kange au pongwe
 
Nina kiwanja kange nyuma ya kiwanda cha pembe , sema bajeti yako kama unaona aibu kuweka bajeji yako ni pm .kiwanja ni 40 x40 nimeshaweka mawe kama trip 5 hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom