Uuzaji wa "ARDHI"!

Uuzaji wa "ARDHI"!

Baptista Moses

New Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Nauza ardhi yenye ukubwa wa hekari 13 tu kwa Tshs 140/= milioni, eneo lipo Lugwadu lipatikanalo barabara ya Kongowe-Kigamboni main road lipo ktk ramani ya mipango miji, ni dakika 30 mpk 45 makadirio ya juu kufika eneo husika, liko tambalale, minazi na miembe pia himo kwa uchache! .
Maulizo: +255 713 506472/758 506472
Email: bfey10@gmail.com
Address: 336 Dar es salaam. dalali haitajiki ili kuepuka usumbufu!
 

Attachments

  • 1445036325271.jpg
    1445036325271.jpg
    142.4 KB · Views: 123
Nakumbuka wakati nanunua ekari 20 kwa laki 4 kipindi niko UD nilijiona lofa kweli! Na jamaa zangu wakanicheka sana. Nangoja kwa ham na mm zamu yangu ifike nipige bingo!
Pia iwe fundisho kwa vijana, unapopata kalaki - laki2, tafuta kwa kuiweka, at least fikiria next 10yrs
 
Back
Top Bottom