boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Nauza shamba lipo wilaya ya mvomero mkoa wa morogoro,nina ekari mia moja,kwasababu nimeshindwa kuliendeleza nauza ekari 50 bei maelewano, gari linaingia mpaka shambani.nizuri kwa kilimo zao lolote linakubali