Habari za majukumu wadau.
Natumai mu-wazima kabisa, kama mada husika inavyosema hapo juu naomba mwenye kuwa na gari ambayo ipo kwenye hali nzuri walau niweze kununua.
Si mbaya kama itakuwa...
Wakuu, niko Dodoma naitaji line ya M-PESA ninajua watu wanauza kwa bei tofauti tofauti , mimi nina 100,000 cash.
Hakuna usumbufu wa kuituma nina popote ulipo ntamtuma mtu umpatie:
NITAFUTE...
Vifaa vinavyouzwa Ni Dstv dish Na decoder yake, Dish la Azam Na decoder yake, tv 2 kubwa, mabenchi 20 ya kukalia, vyote vinauzwa kwa 1,200,000 Tu, vifaa vipo Dar es salaam, Kama uko interesting...
House with Two Equal Apartments for Sale: Chanika D'SM:-
Ø Each apartment : 1- (Seat + dining room), 2-Bed room, 1- Store and Kitchen, 1-Front Verandah, 1- External Toilet + Bath room...
Viwanja vinauzwa kigamboni,mwasonga karibu na shule ya msingi kichangani(njia ya kibada kuelekea dar es salaam zoo)Vimepimwa na vina plot namba kabisa.vimepimwa na kampuni binafsi
Ukubwa ni...
Habari za jioni wadau natumaini mpo fine jaman naitaji kin'gamuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 255756417990
Nahitaji used Laptop ya bei poa kwa ajili ya kazi za kawaida
Iwe ina kaa na charge around 3hrs na kuendelea- kwa sababu ya huu mgawo
Iwe na Ram above 1gb na Storage ya angalau 250gb na...