Wanted urgently! RAV 4

Wanted urgently! RAV 4

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,038
Reaction score
697
Wanajamvi mwenye gari tajwa hapo juu anayehitaji kuiuza achangamkie fursa.

Bajeti yeyote itakayokuwa na minimum price.
 
Ninayo
Lady driven
Plate number BLX
Price 10 million
 
Ipo namba B rangi ya bluu (kili time) milioni 11 Dalali sitaki,iko kwenye hari nzuri
 
Ninayo
Lady driven
Plate number BLX
Price 10 million
Inaa maana imetengezwa kwa ajili ya kuendeshwa na wanawake ? Je, kama miye nahitaji kuinunua ni mwanaume siruhisiwi ?
 
Inaa maana imetengezwa kwa ajili ya kuendeshwa na wanawake ? Je, kama miye nahitaji kuinunua ni mwanaume siruhisiwi ?

Lady driven= driven ni past participle ya drive, ikimaanisha limeendeshwa na mwanamke.
 
Wakuu nasubiri offer nyingine zaidi kabla sijahitimisha zoezi
 
Milion 12, rav 4 kili time. Ya mwaka 2002. Uko Dar es salaam. Number B. Ni manual
 
Milion 12, rav 4 kili time. Ya mwaka 2002. Uko Dar es salaam. Number B. Ni manual

Ok Mkuu, nasubiri watu wamwage offer zao kwanza ndiyo nifanye selection.
 
Wanajamvi mwenye gari tajwa hapo juu anayehitaji kuiuza achangamkie fursa. Bajet; yeyote itakayokuwa na minimum price

Mzigo huu hapa...iko dar es salaam. Ni manual hivyo mafuta inanusa.0755815174
 

Attachments

  • IMG-20151021-WA0022.jpg
    IMG-20151021-WA0022.jpg
    41.4 KB · Views: 153
  • IMG-20151021-WA0024.jpg
    IMG-20151021-WA0024.jpg
    40.8 KB · Views: 148
  • IMG-20151021-WA0019.jpg
    IMG-20151021-WA0019.jpg
    37.9 KB · Views: 143
  • IMG-20151021-WA0023.jpg
    IMG-20151021-WA0023.jpg
    29.3 KB · Views: 136
  • IMG-20151021-WA0021.jpg
    IMG-20151021-WA0021.jpg
    25.6 KB · Views: 124
Back
Top Bottom