TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Oct 21, 2015 #1 Wakuu habari! Ni wapi naweza pata dagaa kwa ajili ya chakula cha kuku kwa bei nafuu i.e jumla kwa hapa DSM.
Wakuu habari! Ni wapi naweza pata dagaa kwa ajili ya chakula cha kuku kwa bei nafuu i.e jumla kwa hapa DSM.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,357 Reaction score 100,366 Oct 21, 2015 #2 Dah ukipata nishtue pia, kuna mtu aliniambia kariakoo sokoni kule shimoni, jaribu kwenda, ukifanikiwa let me know please. blessed
Dah ukipata nishtue pia, kuna mtu aliniambia kariakoo sokoni kule shimoni, jaribu kwenda, ukifanikiwa let me know please. blessed