Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,765
Nahitaji used Laptop ya bei poa kwa ajili ya kazi za kawaida
Kama hufaham hivyo vitu wewe sema tu kama unayo tutawasiliana
Mimi nipo Arusha
- Iwe ina kaa na charge around 3hrs na kuendelea- kwa sababu ya huu mgawo
- Iwe na Ram above 1gb na Storage ya angalau 250gb na kuendelea
- Screen display iwe kubwa 14.5 to 15.5inch
Kama hufaham hivyo vitu wewe sema tu kama unayo tutawasiliana
Mimi nipo Arusha