Wine ambazo hazijakua branded kwa bei poa

Juju_Kiki

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
36
Reaction score
2
Habari wana jamii forum...nauza wine ambazo hazijakua branded. Kwa atakae hitaji atume ujumbe kwa whatsapp number +255716376587
 
Ukisema wine tu haitoshi mkuu, hata kama haina jina ila ni inabidi uielezee kidogo wateja tujue pia ni red, rosee, white au zote unazo. Ni home made au? Ili mtu akishaelewa ndo aje huko what's app.

Ikiwezekana tupia kapicha. (Kama itawezekana lakini)
 
Chapombe kazini😀😀😀
 
Habari wana jamii forum...nauza wine ambazo hazijakua branded. Kwa atakae hitaji atume ujumbe kwa whatsapp number +255716376587

Hiyo wine imetengenezwaje? Tutaamini vipi usafi wa hiyo wine?
 
Umepima alcohol percent? Usije ukauzia watu vitu vyenye methanol wakapata upofu.
Umetengeneza kutumia nini?
Zabibu? Papai?
 
Ha ha ha mkuu umenikumbusha ilo tukio liliwahi tokea kiwanda cha sukari kilombero wanakiwanda kwa ajili ya kutengeneza hizo makitu methanol sijui ee bana walipozindua kiwanda tu waswahili si unawajua jamaa akachukua ile makitu akidhani ni pombe tayari khaaa alizima hatari karibu siku tatu alipopona na kazi wakamfukuza hapo hapo
 
Hatari sana hizi vitu za kutengenezea chumbani. Chang'aa nayo ni ya chumbani watu wanakuwa vipofu kila leo.
 
Back
Top Bottom