Nahitaji gar ndogo

Nahitaji gar ndogo

amadiora

Senior Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
149
Reaction score
24
Waungwana Nina kapesa kadogo nlipanga ninunue kapikipi kama usafir l?kini nkapima nkaona masika ntapata shida maana ilipanga boxer ASA nimeongeza kidogo jama mwenye nako ama jamaa zake anijuz ,chaguo ,SPACIO,ist ,Toyota brevis,na sample hizo nijuze kwa 0673080829 jama iwe hali nzur
 
Hizo gari ulizozitaja hazilingani na bei ya boxer hata kukaribiana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ipo passo kwenye hali nzuri tuu,bei 4.5mil,ni pm.
 
Back
Top Bottom