Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu wapi naweza kupata mashine ya kamari kama hii kwa kununua hapa Tanzania manake juzi juzi mchina fulani alizileta hapa ushirombo Geita watu tukawa tunakula hela sio mchezo ila akaja kuzitoa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama unamjua mtu ambaye anauza gari aina ya range rover na cruiser naomba tuwasiliane kwa namba 0755103405.. Inahitaji haraka
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nilinunua bidhaa from China via eBay lakini loooh Leo ni siku ya 20 bado havijafika na zingine kila nikijaribu kutrack naishia kuona pameandikwa " operation complete" na nyingine naambiwa "...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani kama kuna mtu anayeuza chupa tupu zenye seals na vizibo vyake ziwe za plastiki au za glasi naomba ani PM tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nitakuwa mbeya kesho kutwa kama utahitaji kutengenezewa incubator kwa gharama nafuu na yenye ufanisi wa 86% tuwasiliane kwa no. 0754078015. Nitakua Mbeya mjini.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uongozi wa kbn media group, tunawatangazia watu wote kuwa tunatengeneza blog na tovuti. Kwa bei rahisi na kutengeneza adsense acc ambayo itakusaidia kiuchumi. Utalipwa mpaka dolla 300 kwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF na umma kwa ujumla kiwanja cha biashara chenye ukubwa wa mita za mraba 4000 kinauzwa maeneo ya Ununio nusu kilomita kutoka ufukweni na kama nusu kilomita kutoka barabara ya Bagamoyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jipatie cm zifuatazo kwa bei nafuu. Note 1 kwa 250,000/= Note 2 kwa 400,000/= Note 3 kwa 700,000/= Note 1 imetumika kwa miez 3 bado ni kama mpya note3 na note 2 hizi bado mpya zipo kwenye mabox...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Brand new M7 420,000 na M8 680,000 . Mpya call 0714547830
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Wasting my time here.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu Wanajamvi, Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi. Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo Dar na nimeitumia kwa mwezi 1 bei rahisi anehitaji ani pm Specifications: Platform : android with htc sense htcblink feed Cpu. : qua incomm snapdragon...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta Huawei y300 isiwe na shida yeyote iwe kwenye hali nzuri kabisa nina 70,000.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Kwa wale wafanya biashara za tgo pesa na mpesa kama kuna anayeuza till za tgo pesa na mpesa...nazihitaji.....Kqma unazo please nitumie PM(private message) Nipo Dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nauza ofisi nzima kama ilivyo hapa Arusha maeneo ya Chuo kikuu cha St. Augustine. Ina photocopy 2. Printer 2. Computer 2. Laini za wakala(Voda, Tigo na Airtel). Na vitu vingine vingi. Bei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Tunauza kiwanja kina ukubwa wa 25/45 pia kuna pagale Lina nyumba kubwa hicho kinauzwa milion 60..halafu kuna cha 25/45 kina nyumba ya vyumba viwili imejengwa ndani kuna umeme na maji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye suruali za kike na za kiume (jeans preffered most) tuwasiliane maana nahitaji kununua ili nikauze reja reja. Au kama unafahamu duka linalouza kwa bei nzuri tafadhari nielekeze. Kupitia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari za humuJF, Natafuta room na sebule niweze kupanga maana huku nnapo ishi hali sio nzuri . Tafadhali nisaidieni haswa maeneo ya Tabata, Ubungo, Kigamboni. Uwezo wangu elfu 80 kwa room 2.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu zinahitajika. Ziwe brand new with all accessories Nicheki whatsapp 0715490570
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Back
Top Bottom