Upo Mbeya unahitaji incubator?

Upo Mbeya unahitaji incubator?

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Nitakuwa mbeya kesho kutwa kama utahitaji kutengenezewa incubator kwa gharama nafuu na yenye ufanisi wa 86% tuwasiliane kwa no. 0754078015.

Nitakua Mbeya mjini.
 
kama unahitaji mashine tuwasiliane
 
kahama bado cjapata oda za uko. nikipata oda ndio nakuja
 
nitakua mbeya hv karibuni pata full automatic incubator kwa gharama nafuu sana
 
Umeme wenyewe wamafungu. .zipo za kutumia mafuta ya taa?
 
Back
Top Bottom