Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
Habari za humuJF,
Natafuta room na sebule niweze kupanga maana huku nnapo ishi hali sio nzuri .
Tafadhali nisaidieni haswa maeneo ya Tabata, Ubungo, Kigamboni.
Uwezo wangu elfu 80 kwa room 2.