KABAKA28 JF-Expert Member Joined Jun 18, 2014 Posts 211 Reaction score 229 Nov 13, 2015 #1 Mwenye suruali za kike na za kiume (jeans preffered most) tuwasiliane maana nahitaji kununua ili nikauze reja reja. Au kama unafahamu duka linalouza kwa bei nzuri tafadhari nielekeze. Kupitia PM. Asante.
Mwenye suruali za kike na za kiume (jeans preffered most) tuwasiliane maana nahitaji kununua ili nikauze reja reja. Au kama unafahamu duka linalouza kwa bei nzuri tafadhari nielekeze. Kupitia PM. Asante.
M Martinez JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 525 Reaction score 161 Nov 13, 2015 #2 Mimi ninavyofahamu sehemu muafaka ni kariakoo ambapo utaweza kutembelea maduka mbalimbali ya jumla na kulinganisha bei na ubora
Mimi ninavyofahamu sehemu muafaka ni kariakoo ambapo utaweza kutembelea maduka mbalimbali ya jumla na kulinganisha bei na ubora
mzee wa busara Senior Member Joined Aug 13, 2011 Posts 181 Reaction score 86 Nov 13, 2015 #3 Nenda Kariakoo Maduka ya jumla ni mengi sana,hasa nenda kwenye maduka ya Wakinga,wanauza bei nzuri nzuri zaidi
Nenda Kariakoo Maduka ya jumla ni mengi sana,hasa nenda kwenye maduka ya Wakinga,wanauza bei nzuri nzuri zaidi