Shamba lenye ukubwa wa heka nane linauzwa , liko eneo la tengeru chini karibu kabisa na chuo kikuu cha NELSON MANDELA, Arusha. km tatu toka barabarani, shamba limepakana na mto wenye maji kwa msimu, umeme umepita shambani ( siyo gril ya taifa) hata huduma ya maji ya bomba haiko mbali. Eneo hili liko tambarare na linafaa sana kwa mradi wowote kama shule, kiwanda nk. shamba lina hati miliki halina mgogoro wowote na mtu.
Karibuni sana, kwa mawasiliano Zaidi pls send PM. bei nimaelewano.
Karibuni sana, kwa mawasiliano Zaidi pls send PM. bei nimaelewano.