Ukubwa wako na je uko complete au?Bei yake ikoje
Naona tunaongea lugha gongana!
Je ni mtungi mtupu au unakuja na vile vitu vya kuwekea juu ili iwe rahisi kwa mtu kupika?
Nashukuru kama umeshindwa kunielewa na hii inaonesha kua wewe mwenyewe hujielew. Nimeshapata mtungi