Nahitaji magari ya kubeba mkaa wa mawe

Nahitaji magari ya kubeba mkaa wa mawe

Ungekuwa unalipa vizuri wenye magar wangekutafuta, inaonyesha malipo yako kiduchu ndo maana unatafta
 
130,000 typing error au unamanisha?
 
Unalipa laki moja na elf thelathin au million moja laki tatu, still pesa zone n ndogo sana
 
Ungekuwa unalipa vizuri wenye magar wangekutafuta, inaonyesha malipo yako kiduchu ndo maana unatafta

Nalipa vizuri kaka tatizo sio Magari yote yanaweza kubeba mkaa yanayoitajika ni yenye bodi zilizokatwa kama kontena
 
Kwa uzoefu wako kontena 20ft linabeba tan ngapi za mkaa? Jaribu kufafanua ili tuone kama kuna maslahi ndg
 
20ft aiwezi 40ft inaweza hila nilazima iwe imekatwa nusu hili wakati Wa kupakia isisumbue na wakati Wa kushusha
 
Au tipper zenye uwezo Wa kubeba kuanzi tani 30
 
Back
Top Bottom