100% Pure leather Shoes made in Tanzania for Sell

100% Pure leather Shoes made in Tanzania for Sell

Hapa kazi tu

Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
44
Reaction score
8
Wakuu kwa wale wazalendo wa kweli katika kukuza viwanda vya ndani nauza aina ya viatu(pichani) kwa shilingi laki moja (100,000) tu kwa jozi moja ya kiatu.....

Karibuni sana
 
Attachments

  • IMG_1684 (7).JPG
    IMG_1684 (7).JPG
    3.4 KB · Views: 369
  • IMG_1686.JPG
    IMG_1686.JPG
    3.6 KB · Views: 337
  • IMG_1685.JPG
    IMG_1685.JPG
    3.7 KB · Views: 343
Weka detail za kutosha mkuu uko wapi tofauti na uliko wanapataje mbona bei mkasi
 
Bei inapoa kidogo, napatikana moshi mjini lakini naweza kukutumia popote ulipo, kuhusu china mkuu hizi zinatengenezwa kwa ngozi halisi hata china vipo vinavyotengenezwa kwa ngozi na bei zinaendana na hii, acha zile kanyaboya
 
Inamaana hiyo ni made in Tanzania? Kama jibu ni ndio basi Magufuli atosha.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa wale wazalendo wa kweli katika kukuza viwanda vya ndani nauza aina ya viatu(pichani) kwa shilingi laki moja (100,000) tu kwa jozi moja ya kiatu.....

Karibuni sana

Material safi kabisa ! Unapatikana wapi Mkuu?
Ila jaribuni ku-improve eneo la gundi inayotumika haiko strong vyakutosha kuendana na thamani ya ngozi husika ya kiatu!.
Nimejaribu kununua kadhaa ila gundi ni shida!
 
Wakuu kwa wale wazalendo wa kweli katika kukuza viwanda vya ndani nauza aina ya viatu(pichani) kwa shilingi laki moja (100,000) tu kwa jozi moja ya kiatu.....

Karibuni sana

Sasa siuweke hata namba ya sim,mtu ajue anakupata vipi?Au hata sim huna?
 
Back
Top Bottom