1M ntapata shamba ukubwa gani

1M ntapata shamba ukubwa gani

mongoya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
298
Reaction score
120
Shamba liwe dar au Pwani

Kama ni Pwani iwe mkuraga au Bagamoyo

Nawasilisha.
 
Shamba liwe dar au Pwani Kama ni Pwani iwe mkuraga au BagamoyoNawasilisha.
Ngojea Tumuulize Mheshimiwa Sumaye Kwani Yeye Ndiye Mzoefu Zaidi Wa Masuala Haya Ya Mashamba Na Matumizi Yake YALIYOTUKUKA.
 
Ngojea Tumuulize Mheshimiwa Sumaye Kwani Yeye Ndiye Mzoefu Zaidi Wa Masuala Haya Ya Mashamba Na Matumizi Yake YALIYOTUKUKA.

Miss you my lovely popoma.
Mengine kawaida sana,lodilofa nae hujui uzoefu wake kwenye hayo masuala?
 
Miss you my lovely popoma.
Mengine kawaida sana,lodilofa nae hujui uzoefu wake kwenye hayo masuala?

Nifah

Kweli umeona apa ndio mahala sahihi ya kuwasilisha ya moyoni
 
Heka mbili (2) kwa hapa mkuranga vijijini unapewa hati ya serikali ya mtaa, ila kwa vijiji vya karibu na mjini heka moja (1), kwa tarafa ya mkuranga (mjini) hupati shamba kwa bei hiyo labda viwanja nje ya mkuranga mjini utapata mashamba mengi tu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom