Na kama ni Baharia au Staff mzoefu ukisema jina lako tu basi jua nakujua.
Maana kila boat nawajua wenye kusafirisha parcel za watu.
Kuan kisirani mmoja tu ndio kimeo anaitwa Borafya,yaani utafikiria yeye ndio manager wa boat.Ukimpa mzigo tegemea usumbufu wa hali ya juu saana.Hataki kupanda juu yaani kutoa nje ya boat hadi umfuate,na ukienda pale mpaka ulipie tena kwa geti ndio uzamie.Tabu sana huyu kiumbe.
Ila wengine sipendi kuwataja hapa,yaani ukimpa basi yeye ndio anakupigia sim kwamba upo wapi,na anatoka nje ya bandari pale getini anakupa mzigo wako unasepa,full raha
We acha uhuni,Zanzibar Dar 3 days umeona wapi?
Mtuu unaagiza sim kutoka UK inachukua chini ya wiki.Itakuwa hapa hata kunguru wanavuka.
Yaani ulivyoweka siku 3 ndio umekimbiza wateja.
Mie kila wiki nasafirisha vimizigo hivyo kwa ndugu zangu waliopo Dar na ni only 2hrs na nusu mtu anapata mzigo wake.Unaenda Bandarini unampa Staff wa boat na wengine nijamaa zangu maana wengine tumekaa sana port.Ukimpa basi wakati huo huo unampigia sim mtu akapokee.Sasa kwa sie tunaokaa Buguruni ni masaa matatu tu mzigo unafika nyumbani.
We hata parcel ya Biriani ukiisafirisha inafika haijapoa
Kuhusu bei,hapo ni sawa,ndio bei za kawaida hizo.
badilisha suala la siku tatu,la sivyo wewe mwizi,mie sipendi saana kuremba.
sio kila baharia anafanya kazi speed boat boss....We acha uhuni,Zanzibar Dar 3 days umeona wapi?

nasafirisha parcel ndogo ndogo kati ya dar na zanzibar...
Duration maximum 3 days and below..
Price 5000 tu....
Karibuni.
Upo hapo bandarini??? Je utaratibu wa upokeaji mzigo kwa mteja wangu ukifika utakuwaje ili kuepuka usumbufu wa Tra?? Je hata kama mzigo ni mkubwa gharama yako ni hyo hiyo??
.
mzgo anatolewa mpaka nje bandarini,mzigo mkubwa mpaka niuone.
hahaha we Zanzibar Spices mhuni sana...