Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samsung Galaxy S2 Inauzwa Kwa Bei Ya Laki Na Nusu Niko Dar,,kama Uko Interested Ni Pm Au Nichek 0718864384
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wanaopenda wekeza katika Ardhi aidha kufuga au kulima au Kujenga nina eneo langu nauza kwa bei poa kabisa hekari moja kwa 6M ni nazo mbili eneo la Bwawani/Nduruma Mkoani Arusha. Pia lipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kupata tuition nzuri ya physics and Chemistry for form IV next year, student based in Dar es salaam. Thanks
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenye mziki huo please. Biashara maelewano. Ahsante.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza projector aina ya toshiba ilitoka denmark....naiuza 350000/ Kwa mawasiliano zaidi piga 0715591141
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Za asubuh wadau..natafuta simu used ila isiyo na tatzo lolote aina ya Huawei p6 au p7 pia ikipatikana aina ya Xiaomi, ZTE,Sony na Lg sio mbaya..bajeti yangu n sh laki 3.
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Lile maeneo ya Msewe jirani na kwa Mchina Pub kuvukia chuo cha Maji
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana kwa yeyote anaye mfahamu fundi wa kupaua nyumba katika kiwango kizuri kwa bei nzuri please share nami contacts zake . asante
0 Reactions
19 Replies
4K Views
We are the smartest dealers in the QUALITY GYPSUM PLASTER (Powder),which has the following traits. 1.Super Extra White. 2.Fire & Heat resistant 3.Natural 4.Drying Fast 5.Non Wiped. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu Nahitaji Hard Disc yenye ukubwa walau kuanzia GB500- 1Tb. Kwa yeyote aliyenayo anaweza kuni-Pm tukaongea biashara. Ahsante.!
0 Reactions
0 Replies
810 Views
0716831663 kwa kuhitaji tuchekiane kwa namba hii.... Bidhaa ni Original na chache sana, wahi bei nafuu
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Habari wakuu? Nauza turbo charger ya injini RD 28, Nissan Patrol. Mpya haijatumika. Bei ni 1.3m
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kufaham wapi wanaprint tshirt kwa daresalaam maeneo ya kkoo au popote unapopafaham kwa kutumia maandish ya plastik na sio rangi? Msaada wako tafadhali
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Mwenye nyumba ananidai kodi jamani na hela sina kwa sasa kuna jamaa nlimukopesha nae mambo hayajakaa vzr. Naomben ndugu zangu mnikopeshe laki na nusu ntarudisha ijumaa ya wiki lijalo
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Je, unahitaji samaki Sato wabichi fresh from pond? Unavua mwenyewe ukitaka kutoka bwawani na ukihiitaj kuvulia sawa pia. Wanapatikana contact us 0717451771
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei -maelewano Mahali -arusha Mawasiliano -0656 095 909
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nauza turbo charger ya injini RD 28 Nissan Patrol. Ni mpya kabisa haijafungwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzigo mchache sana kwa maelezo zaidi piga au whatsapp namba 0716831663
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahali -Arusha bei -maelewano Mawasiliano -0656 095 909
0 Reactions
0 Replies
769 Views
saa nzuri na unique.. brand ya Geneva zinapatikana. rangi nyeupe. bei 18000 contact 0755155782.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom