displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Kwa wanaopenda wekeza katika Ardhi aidha kufuga au kulima au Kujenga nina eneo langu nauza kwa bei poa kabisa hekari moja kwa 6M ni nazo mbili eneo la Bwawani/Nduruma Mkoani Arusha.
Pia lipo karibu na miundombinu ya maji pia pana faa hata kwa kilimo cha umwagiliaji.
Sereous buyers katibuni PM tufanye biashara.
Kwa madalali pia njoo PM tufanye biashara.
Pia lipo karibu na miundombinu ya maji pia pana faa hata kwa kilimo cha umwagiliaji.
Sereous buyers katibuni PM tufanye biashara.
Kwa madalali pia njoo PM tufanye biashara.