Fundi mzuri wa Kupaua nyumba ( Roofing ) anahitajika

Fundi mzuri wa Kupaua nyumba ( Roofing ) anahitajika

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,738
Waungwana kwa yeyote anaye mfahamu fundi wa kupaua nyumba katika kiwango kizuri kwa bei nzuri please share nami contacts zake . asante
 
uko wap? Kama ni arusha sema ntakutumia za waliopaua kwangu, yaan wapo vizuri sana
 
Njoo kuna site nyuki imeezekwa kwa chuma kisha tutaongea
 
ukitaka kitu kizuri usikwepe gharama. mtafute huyu yupo vizuri sana na hutomwacha. 0715488992 anaitwa almas anapatikana gongo la mboto. urudi kushukuru ns kutoa ubora wa fundi uliyemtumia. karibu.
 
Waungwana kwa yeyote anaye mfahamu fundi wa kupaua nyumba katika kiwango kizuri kwa bei nzuri please share nami contacts zake . asante

Ukishapaua,naomba unipatie kazi ya kukufanyia Wiring ya Umeme,namba zangu ni 0718 30 21 32
 
msumeno mbona umeingia chaka???

hapana mkuu si unajua mchana unakua unaingia net kwa machale? ila nafuatilia sana hapa na hata inbox pia kuna namba ambazo nimepewa nimesha wa contact mafundi sema
 
ukitaka kitu kizuri usikwepe gharama. mtafute huyu yupo vizuri sana na hutomwacha. 0715488992 anaitwa almas anapatikana gongo la mboto. urudi kushukuru ns kutoa ubora wa fundi uliyemtumia. karibu.

merci papa nitampigia kesho asante sana
 
Njoo kuna site nyuki imeezekwa kwa chuma kisha tutaongea

niko DRC kikazi ndo maana pia nimeamua kupitia hapa ili nikimpata fundi nimuelekeze home pale Bunju kwa jumbe akaona nyumba then tuelewane charges ili nextmonth nikija tufanye kazi
 
Gypsum plaster (Powder) nauza 14,000 tu kwa bei ya jumla,The best quality ambayo ni
1.Super Extra White
2.Fire & Heat resistant
3.Drying Fast
4.Non Wiped.

0764 468 469 TEGETA DSM!Usafiri pia unatafutiwa!
 
Back
Top Bottom