Sir Teacher
Senior Member
- Nov 16, 2015
- 111
- 99
Mwenye nyumba ananidai kodi jamani na hela sina kwa sasa kuna jamaa nlimukopesha nae mambo hayajakaa vzr. Naomben ndugu zangu mnikopeshe laki na nusu ntarudisha ijumaa ya wiki lijalo
Hahahahahah nacheka km mazuri vile
Mweeeeeeeeih!!
Usicheke bwana nisaidie
Mweeeeeeeeih!!
Mwenye nyumba ni mwanamke
Hii hatari aiseee!!!
Baba na mama
Hii hatari aiseee!!!
Aah ongea nao tu watakuelewa
Unakopesheka lakini?
Mmmmhhhh
Nakopesheka jamaangu