kwa anaehitaj laptop aina ya marc bookpro kampun ya apple inauzwa bei ni milion moja na nusu maongez yapo sifa haddisk gb 500 ram six bado mpya piga 0713688120 kwa biashara na maelezoo screen nchi 13
Wanajopo kuna hili Tangazo nimeliona kwenye zoom na bei yake nikastuka saana.
Ila sijajua utendaji wake na uwezo wake,nikaona kwamba ni kiboko ya Majambazi
Yaani unaweza kurusha ki hellcopter...
Salaam wakuu
Najihusisha na biashara ya kuuza Mbuzi wa kuchinja,yaani ndafu wazuri kwa bei nafuu kwa jumla na rejareja. Mbuzi nawatoaga vijijini na kuwanenepesha, Tupo Arusha kwa anahitaji...
Habari zenu wakuu!!
Mimi ni kijana mwenye utaalam katika shughuli za muziki ikiwa ni pamoja na uwezo mkubwa wa kupiga vyombo vya muziki live na pia kwa shughuli za studio,hivyo kwa mmiliki yeyote...
Habari za shughuli wana bodi. ni mwanafunzi wa chuo tajwa hapo juu. nahitaji chumba kwaajili ya kupanga. kiwe na kodi ya kati ya Tsh.50000-70000 kwa mwezi. kiwe self contained na maji yasiwe shida...
Nissan supplies only the best quality vehicles and this car is yet another example from their impressive fleet. This Nissan Navara 2008 comes with a Manual transmission system as well as other...
Kuna nyumba au vyumba vinapangishwa na sio mbali na chuo cha imtu ni mwendo wa dakika 5 _ 10 kwa kutembea kwa miguu
dalali hatakiwi! Na wanachuo wanao hitaji wani pm kwa maelekezo zaidi
Proffesional Camera NIKON D5200 FOR SALE
ITEMS INCLUDED
1. NIKON D5200 24.1 MegaPixels Black Camera
2. NIKON 18-55mm Zoom Autofocus Lens
3. 52mm 2X Professional Telephoto lens
4...
Habari Zenu Nataka Mwenye Gari Imara Anayeweza Kunikodisha Kwa Siku 20, Kuanzia Tarehe 10 Mwez Wa Kumi Na Mbili Mpaka 30, Aina Iwe Raum, Carina, Ist, Mitsubish, Na Mengne Mazuri, NIKO DAR ES...
SKY KWANINI UMEAMUA KUANDIKA KITABU CHA BEYONCE NA JAY Z BADALA YA KUANDIKA HISTORIA ZA WATU WA TANZANIA NA AFRIKA? HILI NI SWALI NINALOULIZWA SANA NA NADHANI NITAULIZWA ZAIDI KITABU KIKIZINDULIWA...
Habari zenu Wanajukwaa hili, Natumaini wote ni wazima na mnaendelea vizuri.
Ningependa Kuwajulisha Watu wote waishio ndani na nje ya Tanzania kuwa mtaalam bingwa wa tiba za jadi na mbadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.