Gari aina ya Isuzu Canter inauzwa

Gari aina ya Isuzu Canter inauzwa

Duh hiyo gari Aina ya isuzu canter natamani niione Maana hiyo itakuwa chotara tu baada ya kufanya cross bleeding kati ya isuzu na mitsubishi canter, c mchezo
 
Isuzu Canter.... ??????
 
Hata hujui magari. Canter ni jamii ya Mitsubishi, sio Isuzu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom