Mkuu hiki nimekipenda. Ni size gani na kinauzwajekuna viwanja karibu na shule ya secondary ilboru, kama upo serious pm
Mkuu hiki nimekipenda. Ni size gani na kinauzwaje
cc12 kwa aina ya eneo unalotaka bila kujali ukubwa kwa Arusha hupati chini ya 10 m+.Nina Mil 7 Cash Nataka Kiwanja Arusha Eneo liwe karibu na huduma zote za kijamii na lisiwe karibu sana barabara Kuu wala Lisiwe mbali vile vile ni PM kama Unacho kiwanja.
Ukienda kwa Mromboo utapata na chenji ya rada unabaki nayo.
12kwa12 mil6 na ukitaka viwili unapata
Ukienda kwa Mromboo utapata na chenji ya rada unabaki nayo.
Hakina mgogoro?kama vipo kweli tuchekiane ndugu, ni pm namber