Mikopo kwa riba nafuu

Mikopo kwa riba nafuu

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Kuna mikopo ya aina mbali mbali kama ifuatavyo:-
fedha
magari
bajaji
bodaboda
furniture
elimu
ving'amuzi
Mikopo ya kanisa
electronics
Ujasiliamali

nipigie tufanye appointment ofisini kwetu sinza evangelical church saccos ltd ipo sinza makaburini karibu na mwika social hall karibu sana ujiunge na sacoss, kwa maelekezo zaidi 0714064767 Afisa mikopo.
 
Uko serious au unatania? wewe ni nani kwenye hiyo SACOSS? ofisini kwenu mnapatikana kwa appointment tu?!!
Nakushauri uandike upya hili tangazo lako limekaa kisanii sana, weka jina la saccos, ofisi ilipo na mawasiliano ya ofisi.
 
nipo ndio maana nimeweka namba yangu na Ni afisa mikopo maelezo ya kwanza unaweza ukapata kwa njia mengine tutapanga appointment kama sitakuwa site wateja wangu wote tunakutana ofisi kwa ajili kujiunga na saccoss
 
jina na anuani ya saccos ni siri mkuu?
 
Mmh harufu ya DECI ,mkuu kwanini usiweke jina la saccos namba ya ofisi na wadhifa wako hapo ofisini,fahamu kuwa mambo ya pesa yanahitaji uwazi na uaminifu wa hali ya juu
 
nipo ndio maana nimeweka namba yangu na Ni afisa mikopo maelezo ya kwanza unaweza ukapata kwa njia mengine tutapanga appointment kama sitakuwa site wateja wangu wote tunakutana ofisi kwa ajili kujiunga na saccoss

Afisa Mikopo umechemsha mkuu, huenda kuna kitu hakipo sawa au hauelewi vizuri hiyo saccoss (Kama ipo) unayoifanyia kazi.

Yaani unashindwa kufanya jambo dogo alilokuomba CYBERTEQ? Bila kuweka anwani na jina la hiyo saccoss yako sifikirii wala kutegemea kama mtu makini unaweza kumpata hata kama uko serious.
 
Last edited by a moderator:
hapa ndugu yangu nimeshaona dalili za wizi, atanisamehe kama ni vinginevyo! hizi saccos za kwenye simu hizi, watalia watu sasa hivi!! huyu bwana mwezi july alikuwa anaomba kazi ya udereva kwa Candid Scope leo keshakuwa afisa mikopo wa saccos isiyo na jina!!!!

Naona umepigilia msumari wa kichwa kabisa
 
hapa ndugu yangu nimeshaona dalili za wizi, atanisamehe kama ni vinginevyo! hizi saccos za kwenye simu hizi, watalia watu sasa hivi!! huyu bwana mwezi july alikuwa anaomba kazi ya udereva kwa Candid Scope leo keshakuwa afisa mikopo wa saccos isiyo na jina!!!!

Mkuu una rekodi yake kumbe.
 
teh hehehehe, akijibu hapa baaaaasi. kuna muda huwa najiuliza hivi Mungu anajua kuna mji unaitwa DAR ES SALAAM!!?
 
nashukuru Sana kwa kauli zenu asanteni Sana mbarikiwe, ila wenye akili wamenielewa, natoa maelezo ya awali kwenye simu na masuala malipo na kujiunga Ni ofisini na hata ukienda ofisini bila loan officer huwezi kupata msaada wowote, ILA kumbuka mtu mjinga uamini kila ambiwalo Bali mwenye akili hufikiri sana.
 
Ni kweli we loan officer haina shaka.We itaje tu Saccos ilipo na jina tutakuja ofisini,obvisious utakwepo kwa vile ni ofisi halali tutakuona tu usijali.Ila tupe kwanza majina kama wadau walivyoeleza hapo juu
 
nashukuru Sana kwa kauli zenu asanteni Sana mbarikiwe, ila wenye akili wamenielewa, natoa maelezo ya awali kwenye simu na masuala malipo na kujiunga Ni ofisini na hata ukienda ofisini bila loan officer huwezi kupata msaada wowote, ILA kumbuka mtu mjinga uamini kila ambiwalo Bali mwenye akili hufikiri sana.

Kumbe nina akiliee maana sikuamini kabisaa. Kajianze upya hii imekushinda
 
Katika maisha watu wenye kukatisha wenzao moyo sishangai na hata kama Kuna kitu kizuri wafrica walivyo na roho mbaya hawawezi kukwambia zaidi Ni kuponda,kwa kifupi fika ofisini kwetu sinza evangelical church sacoss ltd karibu na mwika social hall halafu huakiki then utaambiwa mtafute afisa mikopo akusaidie, taratibu zote za mikopo kwa sababu meneja au muhasibu hawezi kutoka ofisini kwenda kukagua unafanya biashara gani,unaishi wapi je Una sifa za kukopa , kwa hiyo Mimi kama afisa mikopo Nina recommend wakupe mikopo au wasikupe hiyo ndio kazi ya afisa mikopo wenye akili nimewaelewesha wameelewa wamenipigia tumeelewana
 
Back
Top Bottom