Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nataka mkopo wa mbao za kenji na bati msauzi wa kawaida..kwa mfanya biashara aliyoko mwanza aweanauza mbao na bati, sio lazima ziwe msauzi nitamtangulizi pesa kidogo,boma langu lina haribika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kipo tabata kisukulu kina ukubwa wa sqm 1515. Hati miliki safi ipo kutoka serikalini. Kinafaa kwa makazi au biashara. Huduma za umeme na maji vipo. Kipo sehemu ambayo tayari imeshajengeka sana...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Wadau, Mimi ni mtanzania na kwa muda mrefu nimekuwa nikijihusisha na biashara ya dawa za kienyeji,yaani kwa lugha ya kigeni,herbs katika maeneo ya kanda ya ziwa na viunga vyake. Katika biashara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Canon IR 2318, almost new kwan imefanyakaz kidogo sana imetoa kopi kama rims15, haigeuzi, inaprint, inascan bei tshs530,000/= tu. Karibuni 0652 494919
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi natafuta shamba la kulima maeneo ya mto luvu ambako naweza kulima kandokando ya mto mfano wa kilimo cha umwagiliaji. Kama unalo au unaweza kunisaidia kupata naomba sana. Tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jpili. Nina viwanja vitatu vipo pamoja vyenye ukubwa wa 15 x 30 sq meter, eneo la kiseke B. Maji na umeme vipo jirani kabisa na vilipo viwanja. Bei ya kuanzia ni 7m maelewano yapo kwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni ushaur wana JF ni wapi hapa dsm naweza kupata GPS mpya na original
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana. Poleni saaaana na hongereni wengine kila mmoja kwa upande wake katika harakati za 'Kuisoma namba'. ---------------------------- Niende kwenye somo husika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji fremu inayofaa kwa biashara ya mgahawa mdogo iwe Dar es salaam au Arusha sehemu yenye watu wengi. Ukipata plz PM me..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nauza decoder tajwa hapo juu bei ni elfu 70 Ila haina ungo maana ungo nautumia.kwa mawasiliano zaidi piga 0686979746
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ipo mwanza mjini Bei 230 0713774746
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nahitaji smartphone budget yang 200,000 Iwe na uwezo wa speed ya Internet nzuri. picha na kioo kikubwa.Iwe kwenye Hali nzuri.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
used in good condition nipo dar nakupa na chaj yake 0686321932
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nipo dar nicheki 0712505049 Tupange bei
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ni used but ni grade A kwa maana ya kwamba ni kama mpya. Ina specification zifuatazo.... (i) NETWORK TechnologyGSM / HSPA (ii) Size5.0 inches (iii) CPUQuad-core 1.2 GHz (iv) Internal4 GB, 1...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Mwenye simu tajwa hapo juu aniuzie bajeti yangu ni 200000 napatikana kwa namba hii 0754288065
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bei 125k nipo dar 0657445777
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Tunakuletea biriani safi na nzuri ukiwa dar popote kwa elfu tano(5000) kwa idadi yoyote.. Ukihitaji Wasiliana na mimi kwa namba hii 0719390083. Hakika hutojutia
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…