Natafuta smartphone ya kununua

Natafuta smartphone ya kununua

kerai

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
222
Reaction score
151
wakuu nahitaji smartphone budget yang 200,000 Iwe na uwezo wa speed ya Internet nzuri. picha na kioo kikubwa.Iwe kwenye Hali nzuri.
 
Nina huawei y300 kwa bei hyo..
Na samsung 4 ila sio kwa bei hyo..
 
wakuu nahitaji smartphone budget yang 200,000 Iwe na uwezo wa speed ya Internet nzuri. picha na kioo kikubwa.Iwe kwenye Hali nzuri.

Niko na Viwa Max 5 iko vizuri sana, niko dodoma saivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom