Msaada natafuta shamba la kulima

Msaada natafuta shamba la kulima

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wanajamvi natafuta shamba la kulima maeneo ya mto luvu ambako naweza kulima kandokando ya mto mfano wa kilimo cha umwagiliaji. Kama unalo au unaweza kunisaidia kupata naomba sana.

Tuwasiliane kwa namba 0755103405
 
Nani akupe namba harafu uanze kumpigia kumtaperi!!? Nenda Magwepande.
 
Mdau naomba uelewe somo mm nimetoa namba kutaka msaada wa shamba la kununua sasa hapo nitamtapeli nani? Kama mm ndio mnunuaji mwenyewe....kama huna au humfahamu mtu kaa kimya kuliko kupost vitu vya ajabu kwa kukosa hekima
 
Back
Top Bottom