Wafanyabiashara wa mbao na bati, nikopesheni

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
585
Nataka mkopo wa mbao za kenji na bati msauzi wa kawaida..kwa mfanya biashara aliyoko mwanza aweanauza mbao na bati, sio lazima ziwe msauzi nitamtangulizi pesa kidogo,boma langu lina haribika..
Aweke mawasiliano yake hapa nitamtafuta ili tufanye makubaliano.

Maana kila niki kusanya pesa kwa ajili ya shughuli hiyo matatizo yana jitokeza.
Nimedhamilia wala sio utani.
 
Hili linamjengea shaka mkopeshaji yeyote. Inaonekana binafsi unakosa mipango/mikakati madhubuti na kuisimamia.

Umejipanga vipi kukabiliana na hayo matatizo siku za mbeleni? Ikiwa ni pamoja na kuhakikisha unalipa deni kwa wakati? Maana kamwe matatizo huwa hayaishi na kumbuka mkopeshaji hatahitaji excuse ya matatizo yako pindi muda wa rejesho unapowadia.
 
hili linamjengea shaka mkopeshaji yeyote. Inaonekana binafsi unakosa mipango/mikakati madhubuti na kuisimamia.

Umejipanga vipi kukabiliana na hayo matatizo siku za mbeleni? Ikiwa ni pamoja na kuhakikisha unalipa deni kwa wakati? Maana kamwe matatizo huwa hayaishi na kumbuka mkopeshaji hatahitaji excuse ya matatizo yako pindi muda wa rejesho unapowadia.

uwezo wakukopesha unao?
Nakupa kadi yangu
 
Nataka mkopo wa mbao za kenji na bati msauzi wa kawaida..kwa mfanya biashara aliyoko mwanza aweanauza mbao na bati, sio lazima ziwe msauzi nitamtangulizi pesa kidogo,boma langu lina haribika..
Aweke mawasiliano yake hapa nitamtafuta ili tufanye makubaliano.

Maana kila niki kusanya pesa kwa ajili ya shughuli hiyo matatizo yana jitokeza.
Nimedhamilia wala sio utani.

Bado haujafanikiwa mpaka leo?
 
Back
Top Bottom