Habari zenu wakuu nauza mbuzi wakienyeji kwa matumizi ya nyama au kufuga wapo mbuzi 30,bei inaanzia tsh.70000 hadi laki moja.nipo singida pia naweza kusafirisha hadi mkoa mwingine.kama upo tayari...
Ramani ya Nyumba nzuri na ya kisasa yenye:
1.Masterbedroom
2.Lounge/Sitting room
3.Kitchen
2.Vyumba viwili vya kulala
5. Common toilet
Ikiwa na michoro yake yote yaani
-Floor plan
-Roof plan...
Nataka mkopo wa mbao za kenji na bati msauzi wa kawaida..kwa mfanya biashara aliyoko mwanza aweanauza mbao na bati, sio lazima ziwe msauzi nitamtangulizi pesa kidogo,boma langu lina haribika...
Kipo tabata kisukulu kina ukubwa wa sqm 1515. Hati miliki safi ipo kutoka serikalini. Kinafaa kwa makazi au biashara. Huduma za umeme na maji vipo. Kipo sehemu ambayo tayari imeshajengeka sana...
Wadau,
Mimi ni mtanzania na kwa muda mrefu nimekuwa nikijihusisha na biashara ya dawa za kienyeji,yaani kwa lugha ya kigeni,herbs katika maeneo ya kanda ya ziwa na viunga vyake.
Katika biashara...
Wanajamvi natafuta shamba la kulima maeneo ya mto luvu ambako naweza kulima kandokando ya mto mfano wa kilimo cha umwagiliaji. Kama unalo au unaweza kunisaidia kupata naomba sana.
Tuwasiliane...
Habari za jpili.
Nina viwanja vitatu vipo pamoja vyenye ukubwa wa 15 x 30 sq meter, eneo la kiseke B. Maji na umeme vipo jirani kabisa na vilipo viwanja. Bei ya kuanzia ni 7m maelewano yapo kwa...
Habari zenu waungwana.
Poleni saaaana na hongereni wengine
kila mmoja kwa upande wake katika harakati za
'Kuisoma namba'.
----------------------------
Niende kwenye somo husika...