Natafuta Azam decorder

Natafuta Azam decorder

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Natafuta Azam decorder inayofanya kazi kwa 50,000.

Ni pm kama unacho
 
Ina maana humu ndani hamna anaeuza king'amuzi cha Azam??
 
mi ninacho ila hakitoi sauti. nahitaji 60,000/=.
 
Kama hakitoi sauti means ni kibovu ndugu
 
kwani unayo ya shillingi ngapi kaka?
 
Jamani nani ana decoder ya Azam kwa 50,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom